Machapisho

MATIBABU YA UGONJWA WA KUZIBA SIKIO.[CERUMEN IMPACTION]

Picha
  katika hali ya kawaida sikio la binadamu hutengeneza utando unaovutika kama asali, utando huu huzuia uchafu kuingia ndani ya sikio, kulainisha sikio na kukamata wadudu wanaoingia ndani ya sikio..utando huu hutengenezwa kwa kiasi kidogo sana kwa siku ili kukizi mahitaji ya sikio kwa siku lakini katika hali isiyo ya kawaida utando huu unaweza kua mwingi sana na kuziba sikio na kumfanya mtu ashidwe kusikia vizuri. sio hivyo tu kuna sababu zingine mbalimbali ambazo zinaweza kuziba sikio la mtu na kulifanya lishindwe kusikia kama ifuatavyo.. matumizi ya vitu vya kuchokonoa sikio kama viberiti, kalama au pamba za masikioni. kuziba kwa nywele ambazo hupatikana ndani ya sikio. kuishi sehemu yenye vumbi sana matatizo ya mirija ya masikio kitaalamu kama auditory canal   dalili za kuziba kwa sikio maumivu makali sikioni kushindwa kusikia kuwashwa sikioni kusikia kama sauti za kengere sikioni. kizunguzungu   vipimo vipi hufanyika? kwa kifaa maalumu kwa jina la otoscope ...

KUHUSU BLOG HII YA MKOMBOZI SANITARIUM CLINIC.

Picha
Mkombozi sanitarium clinic inayo husika na uuzaji wa dawa asili zilizo tengenezwa kwa mimea & matunda pamoja na vyakula lishe. DAWA ASILI TUNAZO UZA : Dawa tulizonazo ni zile zinazo tibu na kuponyesha kabisa magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile. i. Dawa Kwa faida ya Afya kwa ujumla ii. Vipele (chunusi) Na Ngozi iii. Upara (Alopeshia) iv. Pumu v. Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini) vi. Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu vii. Kibofu cha Mkojo/Figo viii. Jiwe La Figo ix. Maathiriko Ya Figo x. Mafua xi. Kikohozi xii. Bawasiri xiii. Shinikizo la damu (high blood pressure): xiv. Uwasho Na Maumivu Ya Jino Na Ufizi: xv. Kumbukumbu (memory): xvi. Utaratibu Wa Ulinzi Wa Mwili: xvii. Jaundice: ( Homa Ya Manjano ) xviii. Maumivu Sugu ya kichwa (Maumivu ya kichwa ya upande mmoja, maumivu ya kichwa): xix. Ngozi kavu xx. Upepo xxi. Minyoo xxii. Kunyonyoka Nywele xxiii. Maumivu ya Kichwa xxiv. Ukosefu Wa Usingizi xxv. Chawa Na Mayai Yakxxvi.  Kisunzi Na ...

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO.

Picha
Kuharibika kwa chujio ama Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika na uchujaji wa maji pamoja na uchafu kutoka katika damu. Sehemu hii huitwaglomelurus au chujio kama tutakavyokuwa tukitumia katika mada hii. Visababishi Mara nyingi chanzo halisi cha kuharibika kwa chujio za figo(glomerulonephritis) huwa hakijulikani. Hata hivyo wakati mwingine uharibifu huu unaweza kusababishwa na kushambuliwa na mfumo wa kinga ya mwili. Uharibifu katika chujio husababisha damu pamoja na protini kuingia katika mkojo. Tatizo hili hukua kwa haraka na figo linaweza kupoteza uwezo wake wa kuchuja maji na uchafu kwa kasi ndani ya muda mfupi wa kati wiki chache mpaka miezi kadhaa. Aina hii ya kuharibika kwa chujio za figo kwa haraka hujulikana kitalaamu kama rapidly progressive glomerulonephritis. Ukubwa wa tatizo na vihatarishi vyake Takribani robo ya watu wanaopatwa na tatizo sugu la glomerulonephritishuwa hawana historia ya kuwa...